Isaiah 7:23-24

23 aKatika siku ile, kila mahali palipokuwa na mizabibu elfu moja yenye thamani ya shekeli 1,000
Shekeli 1,000 ni kama kilo 11.5.
za fedha, patakuwa na michongoma na miiba tu.
24 cWatu watakwenda huko wakiwa na upinde na mshale, kwa maana nchi itafunikwa na michongoma na miiba.
Copyright information for SwhKC